Floyd Mayweather, Jr. of the U.S. stands up on the ropes in his corner after defeating Manny Pacquiao of the Philippines in their welterweight WBO, WBC and WBA (Super) title fight in Las Vegas, Nevada, May 2, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amewahimiza wananchi kudumisha na kuuenzi Muungano wa Taganyika na Zanzibar na kuwahakikishia wananchi wa pande Mbili kuwa kero chache za Muungano ambazo zimebaki zitamalizwa kwa mazungumzo kama hatua ya kudumisha Muungano huo.
Tazama hapa moja kwa moja kutoka Bungeni Dodoma kipindi cha Maswali na Majibu katika Bunge la 11, Mkutano wa Saba leo Aprili 24, 2017. Bofya hapo chini Kutazama.
Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema amedhamiria kununu treni ya umeme baada ya Rais John Magufuli kuonyesha dhamira ya kujenga reli ya kisasa(standard gauge).
Comments
Post a Comment